Vunja Mbavu 4.0.9

Licence: Gratuit ‎Taille du fichier: 3.04 MB
‎Note des utilisateurs: 2.5/5 - ‎7 ‎Votes

Sur Vunja Mbavu

Kiswahili: Vunja Mbavu ni programu ya simu janja ambayo inawawezesha watumiaji kutafuta na kusoma vichekesho na vunja mbavu nyingi zilizoandikwa kwa lugha ya kiswahili. Tunaamini kwamba kucheka huleta furaha katika maisha na tunaamini kuwa kucheka ni zaidi ya tiba kwa binadamu. Vunja Mbavu ina mjumuisho wa vichekesho ambavyo vinaweza kumfanya mtu yeyote akacheka na kuburudika. Jambo la kufurahisha zaidi ni kuwa, vichekesho vyetu vinaweza kusoma au kuangaliwa na familia pia kwa sababu havina lugha ya kuudhi au matusi. Vichekesho vyetu viko katika mfumo wa maandishi, katuni, picha, sauti, na video jambo linalompa kila mtumiaji wa programu hii wasaha wa kufurahi kwa kila aina ya vichekesho. Aidha kuna: Vichekesho Vichekesho Vioja ( Vioja ) Katuni Katuni Marichy Simulizi ( Simulizi ) Siasa ( Siasa ) Jamii Jamii Jamii Picha ( Picha ) Vidéo Anglais: Vunja Mbavu est une application qui permet aux utilisateurs de rechercher et de lire des blagues écrites en langue swahilie. Nous croyons que le rire peut avoir un impact sur la vie de bonheur et nous croyons que le rire est plus que des médicaments pour les personnes stressées. Vunja Mbavu app a une collection de blagues différentes qui peuvent faire rire n’importe qui et s’amuser. La bonne chose est; Vunja Mbavu est pour tout le monde, même les blagues de famille parce que nous réglementons les langues abusives et nous croyons que n’importe qui peut rire sans entendre des mots abusifs.